NATURAL BEAUTY SECRETS AND TIPS FOR BEAUTIFUL, HEALTHY SKIN(afya , mazoez na urembo)

NATURAL BEAUTY SECRETS AND TIPS FOR BEAUTIFUL, HEALTHY SKIN(afya , mazoez na  urembo)

BUSU LA JENIFER LOPEZ LAHARIBU NDOA YA MUMEWE WA ZAMANI MARC ANTONY NA MPENZI MPYA WA ANTONY,SHANON DE LIMA>>>>


MARC ANTONY WITH SHANON DE LIMA

VYANZO vya habari vya E! News na Us Weekly vimeripoti kwamba, ndoa ya mwimbaji maarufu duniani, Marco Antonio Muñiz ‘Marc Anthony’ (48) ametengana na mkewe ambaye ni model kutoka nchini Venezuela, Shannon De Lima (28) chanzo kikitajwa kuwa ni msanii mwenzao Jennifer Lopez.Wapenzi hao waliodumu kwenye ndoa yao kwa miaka miwili tangu mwaka 2014, wameachana hivi karibuni huku chanzo kikielezwa kuwa, siku ya Usiku wa Tuzo za 17 za Latin Grammy Awards, wakati Marc Anthony akitumbuiza, ghafla mkewe wa zamani alipanda jukwaani na kumbusu mumewe huyo wa zamani jambo ambalo lilimtia wivu na limemkasilisha Shannon De Lima mpaka kufikia hatua ya kuchukua uamuzi wa kutengana na mumewe huyo.
Previous
Next Post »