kwa ufupi tu hiyo unatokana na uvaaji wa element chafu
Mganga mkuu wa mkoa wa dodoma DR James kiolongwe amesema watumiaji wa vyombo hivyo wamekuwa na tabia ya kutumia helement hizo zikiwa chafu bila ya kufahamu yakuwa zinaweza kuwa chanzo cha gonjwa la ngozi wanacho jali wao ni kukidhi shelia za balabarani tu...