NATURAL BEAUTY SECRETS AND TIPS FOR BEAUTIFUL, HEALTHY SKIN(afya , mazoez na urembo)

NATURAL BEAUTY SECRETS AND TIPS FOR BEAUTIFUL, HEALTHY SKIN(afya , mazoez na  urembo)

Mvumbuzi wa Ghana azindua magari yake ya kifahari

Mvumbuzi wa Ghana azindua magari yake ya kifahari

  • 3 Januari 2017
Gari la Katanka lilivumbuliwa na Kwadwo SarfoImage copyrightek
Image captionGari la Katanka lilivumbuliwa na Kwadwo Sarfo
Mvumbuzi mmoja wa Ghana ameonyesha kile anachotaja kuwa uvumbuzi wake wa hivi karibuni unaoshirikisha magari katika maonyesho ya Kiteknolojia katika mji mkuu wa Accra.
Kwadwo Sarfo ,mwanzilishi wa taasisi ya kiteknolojia ya Katanka na mbaye pia ni kiongozi wa dini alionyesha gari alilotengeza aina ya V8, pikipiki za magurudumu matatu, mashine za roboti za kuchomelea vyuma miongoni mwa vinginevyo.
Kwadwo Sarfo ,mwanzilishi wa taasisi ya kiteknolojia ya Katanka na rais wa Ghana kulia Nana Akofu AdoImage copyrightM
Image captionKwadwo Sarfo ,mwanzilishi wa taasisi ya kiteknolojia ya Katanka na rais wa Ghana kulia Nana Akofu Ado
Rais Nana Akofu-Addo, ambaye alihudhuria maonyesho hayo amesema serikali yake itaangazia kuhusu elimu ya sayansi na teknolojia ili kuimarisha maendeleo ya serikali kulingana na chombo cha habari cha Joy News.
Magari ya kantankaImage copyrightMYJOYONLINE.COM
Image captionMagari ya kantanka
Bw Sarfo ambaye ni babake mbunge mmoja amesema kuwa uvumbuzi wake unaonyesha uwezo mkubwa wa mtu mweusi katika sekta ya teknolojia na uvumbuzi.
Alitengeza gari lake la kwanza mwaka 1998 na tangu wakati huo chapa yake ya Kantanka imetoa magari kadhaa ikiwemo magari yenye magurudumu manne na SUV.
Gari la magurudumu matatu lililotengezwaImage copyrightMYJOYONLINE.COM
Image captionGari la magurudumu matatu lililotengezwa
Previous
Next Post »