NATURAL BEAUTY SECRETS AND TIPS FOR BEAUTIFUL, HEALTHY SKIN(afya , mazoez na urembo)

AUDIOMpya Rich Mavoko na Diamond wamekutana kwenye collabo hii Kokoro

Baada ya kukaa kimya kwa muda kidogo, mwimbaji star kutoka lebel yenye mastaa wakali sana Tanzania, WCB, Richard a.k.a Rich Mavoko a.k.a Tajiri wa Vocals amekutana kwa mara ya kwanza kwenye collabo na Diamond Platnumz, ndani ya brand new joint “Kokoro”.
Mzigo huu ni another hit kutoka “nyumba ya ngoma kali” kama wanavyoiita wenyewe, umetayarishwa na maproducer wawili ambao ni Lizer kutoka WCB na Abby Daddy.
Unaweza kuiskiliza kwa kubonyeza Play hapo chini au ipakue kwa HAPA

Previous
Next Post »