Picha zilizovutia vichwa vya habari barani Afrika mwaka huu: Picha zilizovutia vichwa vya habari barani Afrika mwaka huu:Image copyrightGETTY IMAGESImage captionOscar Pistorius alivua miguu yake bandia na kuguchuia katika mahakama wakati wa kusikizwa kwa kesi yake nchini Afrika KusiniImage copyrightWANAMAJI WA ITALIImage captionBoti iliokuwa ikizama katika bahari ya Mediterenean kati ya Itali na Libya yapigwa picha .Kikosi cha wanamaji wa Italy kiliwaokoa zaidi ya wahamiaji 560.Image copyrightAPImage captionMiezi michache baadaye mnamo mwezi Agosti boti ndo ziliokolewa mojawapo ikiwa mtu na mwanawe wa miaka mitanoImage copyrightAFPImage captionWaandamanaji nchini Zimbabwe wazichoma noti za taifa hilo zilizozinduliwa ili kukabiliana na upungufu wa dola za Marekani nchini humoImage copyrightAPImage captionMnamo mwezo Oktoba wanawake 21 na wasichana waliunganishwa tena na familia zao .Kampeni ya bringbackourgirls iliwafanya kuwa maarufu dunianiImage copyrightGETTY IMAGESImage captionWachezaji wa lemau wa voliboli nchini Rwanda walisimama na kuimba nyimbo ya taifa lao katika mechi dhidi ya ChinaImage copyrightAFPImage captionSudan Kusini ni maarufu sana kwa mchezo wa miereka na mnamo mwezi Aprili mashindano ya Miereka yalifanyika kwa mara ya kwanza tangu vita vya wenyewe kwa wenyeweImage copyrightAFPImage captionWaandamanji walioda kuwepo kwa mabadiliko ya sheria za uchaguzi wakikabiliana na maafisa wa polisi katika eneo la Kibera nchini Kenya.Image copyrightALAMYImage captionMafuriko nchini Somalia yalisababisha familia nyingi kuhama katika majumba yaoImage copyrightEPAImage captionMnamo mwezi Oktoba mwanajeshi wa Sudan Kusini aonekana akipiga tarumbeta ya pembe ya ngombe katika operesheni ya jeshiImage copyrightEPAImage captionRais wa Zimbabwe Robert Mugabe asherehekea mwaka wa 92 tangu azaliwe mnamo mwezi FebruariImage copyrightREUTERSImage captionKatika maandamano ya kupiga ukosefu wa ajira nchini Tunisia ,mtu ambaye hana kazi alijishona mdomo wake ikiwa katika kile kiichotajwa kuwa mgomo wa kutokula mnamo mwezi JanuariImage copyrightAFPImage captionMashabiki wakimuomboleza mwana soka wa Nigeria Stephen Keshi nchini Togo mnamo mwezi JuniImage copyrightEPAImage captionNchini Afrika Kusini wanafunzi walifanya mgomo dhidi ya karo ya kiwango cha juuImage copyrightAFPImage captionKatika harakati za kukabiliana na ulemavu wa ngozi ,shindano la mfalme na malkia wa Albino liliandaliwa mjini Nairobi mwezi Oktoba. Tweet Share Share Share Share About Admin This is dummy text. It is not meant to be read. Accordingly, it is difficult to figure out when to end it. But then, this is dummy text. It is not meant to be read. Period. Related Post