NATURAL BEAUTY SECRETS AND TIPS FOR BEAUTIFUL, HEALTHY SKIN(afya , mazoez na urembo)

NATURAL BEAUTY SECRETS AND TIPS FOR BEAUTIFUL, HEALTHY SKIN(afya , mazoez na  urembo)

KIMENUKA...!! QUEEN DARLEEN NA ALIKIBA KUHUSU NGOMA YA "WAJUA

Katika kuelekea kuumaliza mwaka, timu nzima ya WCB na wapenda burudani wanakutana kwenye kiwanja cha Jangwani Seabreez kwaajili ya party maalumu ya kufunga mwaka iliyo andaliwa na timu hiyo.
Queen Darleen na Alikiba

Queen Darleen ni msanii wa kwanza wa kike kuwa katika lebo hiyo ya wasafi na ni miongoni mwa wasani watakao perform kwenye party hiyo.

Hivi unaikumbuka ile ngoma ya Queen Darleen na Alikiba iliyowahi kushika chati miaka ya nyuma. Sasa mchezo unaanzia hapo, je? Msanii huyo ataicheza ngoma hiyo au hato ujali utofauti wa Diamond Platnumz na Alikiba.

Jawabu liko hapa Bofya Play katika Video hapa Chini.

Previous
Next Post »