NATURAL BEAUTY SECRETS AND TIPS FOR BEAUTIFUL, HEALTHY SKIN(afya , mazoez na urembo)

NATURAL BEAUTY SECRETS AND TIPS FOR BEAUTIFUL, HEALTHY SKIN(afya , mazoez na  urembo)

PICHA 10: Muonekano wa barabara za Dodoma leo January 5 2017

Dodoma ndio mji mkuu wa Tanzania ambayo imeendelea kuchukua headline zake kila siku hasa baada ya Rais John Pombe Magufuli kutangaza kuwa serikali yake yote ni lazima ihamie Dodoma ili kukamilisha maana nzima ya kuwa ndio makao makuu.
Najua kuna baadhi ya watu wangu hawajawahi kufika kabisa Dodoma na wapo wengine pia hawajafika ni kwa muda sasa, yes..! kazi yangu siku zote ni kuhakikisha nawasogezea kila wanachokihitaji watu wangu ambapo leo nimezikusanya picha za muonekano wa baadhi ya barabara Dodoma.
2x6a1098
Barabara ya ndasha
2x6a1107
Zuzu roundabout
2x6a1113
Kanisa la anglikana
2x6a1123
.
2x6a1129
Reli ya kati
ddddddd
2x6a1227
Njiapanda Area D
2x6a1231
2x6a1242
2x6a1259
Previous
Next Post »